Imewekwa: July 17th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Tellack leo amemuapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kahama Mhe. Anamringi Macha.
Bi. Tellack amemtaka Mkuu wa Wilaya huyo kufanya kazi kwa haki kwa kuzingatia Ilani ...
Imewekwa: July 15th, 2018
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo amezindua kituo cha afya kilichopo kata ya Mwendakulima Halmashauri ya Mji wa Kahama. Kituo hiko kimejengwa kwa ufadhili wa Acacia Buzwagi.
Ak...
Imewekwa: July 15th, 2018
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa amesema kuwa kitendo cha Halmashauri ya Mji wa Kahama kutenga maeneo makubwa ya uwekezaji na Viwanda ni jambo ambalo linapaswa kuigwa na mikoa yote ya T...