Imewekwa: July 31st, 2018
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limeendesha Mafunzo Kwa Wajasiriamali Mjini Kahama. Mafunzo hayo yamefanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia jana Tarehe 30/07/2018 hadi leo 31/07/2018...
Imewekwa: July 28th, 2018
Diwani mpya wa Viti maalum Mhe. Zena Sadd Luzwiro ameapishwa leo na kuanza kazi maramoja. Tukio hilo limetokea leo wakati wa kikao cha Mwaka cha Baraza la Madiwani kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji ...
Imewekwa: July 24th, 2018
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Kahama limekaa katika kikao maalum mapema leo ili kujadili hoja za ukaguzi.
Kikao hicho kilichosimamiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Ndg. Albert Ms...