Imewekwa: October 13th, 2018
Uongozi wa Hospitali ya Mji wa Kahama na Ofisi ya Ustawi wa Jamii inamuenzi Baba wa Taifa kwa kutoa huduma ya vipimo bure kwa wazee. Huduma hii ni ya siku mbili kuanzia leo na kumalizika kesho Oktoba ...
Imewekwa: October 11th, 2018
Oktoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Kwa Halmashauri ya Mji wa Kahama maadhimisho haya yamefanyika Kata...
Imewekwa: October 6th, 2018
Halmashauri ya Mji wa Kahama imekabidhi rasmi eneo linalotakiwa kujengwa Hospitali ya Kisasa kwa Suma JKT ambao ndio watakaojenga majengo hayo. Makabidhiano hayo yamefanyika mapema leo kati ya Mkuruge...