Imewekwa: May 22nd, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha amewataka watoa huduma za afya kuzingatia uadilifu katika majukumu yao. Ameyasema hayo mapema leo alipokuwa akitoa neno kwenye kikao cha tathmini ya utoaj...
Imewekwa: May 15th, 2019
Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama leo wameadhimisha siku ya Familia duniani kwa kufanya mdahalo wa pamoja.
Katika mdahalo huo watumishi wameweza kujadiliana na kubadilishana mawazo ju...
Imewekwa: May 10th, 2019
Jumla ya Miradi 8 yenye thamani ya Tsh. 29,277,734,461 imepitiwa na Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji wa Kahama leo Tarehe 10.05.2019. Miradi hii inajumuisha ya Halmashauri, Serikali kuu, Sekta Binaf...