Imewekwa: October 13th, 2020
Kikao cha Timu ya Wataalamu Halmashauri ya Mji wa Kahama "CMT" cha Mwezi wa kumi kimefanyikia Shule ya Msingi Magobeko Kata ya Kinaga Wilayani Kahama mapema leo. ...
Imewekwa: October 8th, 2020
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Halmashauri ya Mji wa Kahama yamefanyika leo kwenye viwanja vya "National Housing" vilivyopo mjini Kahama. ...